Pergi ke luar talian dengan aplikasi Player FM !
Podcast Berbaloi untuk Didengar
DITAJA

Ongezeko la mafua na magonjwa yenye dalili za mafua wakati wa joto
Manage episode 462251591 series 1189407
Kumeendelea kushuhudiwa kwa idadi kubwa ya watu wanaougua mafua au magonjwa yanayoathiri mfumu wa kupumua mwezi Januari ambao una joto jingi na vumbi.
Hii inajiri wakati China ikiwa imeripoti mlipuko wa ugonjwa wa Human metapneumovirus ,HPMV unaofanana na COVID 19 .
Daktari Juma Maleve kutoka Hospitali ya rufaa ya Mombasa ,Pwani ya Kenya anafafanua.
24 episod

Semua episod
×
1 Juhudi za Guinea kumaliza ugonjwa wa Malale mojawapo ya magonjwa yaliyotengwa 10:11

1 Dunia: Zaidi ya watu Milioni 18 wameathirika na ugonjwa wa mtindio wa ubongo 10:14

1 Kupanga uzazi kwa kutumia njia za homoni na ile ya Kitanzi -Matatizo ya Afya kwa Wanawake 10:03

1 Juhudi za kupunguza matumizi ya dawa za kulevya eneo la Pwani ya Kenya 10:15

1 Dunia: Wahudumu wa afya waendelea kuuawa katika maeneo ya mizozo 10:22

1 Afya ya kujifungua na uzazi: Changamoto zinazotokea wakati wa kujifungua mtoto 10:00

1 Kukabiliana na tatizo la kiafya la kungatwa na nyoka katika ukanda wa Afrika 10:14

1 ICRC yapambana kutoa huduma za afya za dharura ndani ya saa 96 10:17
Selamat datang ke Player FM
Player FM mengimbas laman-laman web bagi podcast berkualiti tinggi untuk anda nikmati sekarang. Ia merupakan aplikasi podcast terbaik dan berfungsi untuk Android, iPhone, dan web. Daftar untuk melaraskan langganan merentasi peranti.