Player FM - Internet Radio Done Right
11 subscribers
Checked 1d ago
Ditambah nine tahun yang lalu
Kandungan disediakan oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili. Semua kandungan podcast termasuk episod, grafik dan perihalan podcast dimuat naik dan disediakan terus oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili atau rakan kongsi platform podcast mereka. Jika anda percaya seseorang menggunakan karya berhak cipta anda tanpa kebenaran anda, anda boleh mengikuti proses yang digariskan di sini https://ms.player.fm/legal.
Player FM - Aplikasi Podcast
Pergi ke luar talian dengan aplikasi Player FM !
Pergi ke luar talian dengan aplikasi Player FM !
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Tandakan semua sebagai (belum) dimainkan
Manage series 1189205
Kandungan disediakan oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili. Semua kandungan podcast termasuk episod, grafik dan perihalan podcast dimuat naik dan disediakan terus oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili atau rakan kongsi platform podcast mereka. Jika anda percaya seseorang menggunakan karya berhak cipta anda tanpa kebenaran anda, anda boleh mengikuti proses yang digariskan di sini https://ms.player.fm/legal.
Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
…
continue reading
24 episod
Tandakan semua sebagai (belum) dimainkan
Manage series 1189205
Kandungan disediakan oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili. Semua kandungan podcast termasuk episod, grafik dan perihalan podcast dimuat naik dan disediakan terus oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili atau rakan kongsi platform podcast mereka. Jika anda percaya seseorang menggunakan karya berhak cipta anda tanpa kebenaran anda, anda boleh mengikuti proses yang digariskan di sini https://ms.player.fm/legal.
Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
…
continue reading
24 episod
All episodes
×
1 Kizza Besigye wa Uganda ashtakiwa kwa uhaini, Kenya na Sudan zatofautiana kuhusu RSF 19:58
19:58
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai19:58
Habari za wiki hii ni pamoja na hali kule nchini Mashariki mwa DRC, utata wa kidplomasia uanozingira Kenya na Sudan, tutaangazia pia kesi ya kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, lakini tutaangalia kipindi cha mpito nchini Niger. Tumedadisi pia hali kufikia sasa ya vita vya kule Gaza na misimamo ya viongozi mbalimbali wa ulimwengu.…

1 Mkutano wa AU kuhusu mzozo wa DRC, waasi wa M23 waudhibiti mji wa Bukavu 20:12
20:12
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:12
Makala hii imeangazia mkutano wa viongozi wa Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia ambapo wamemchagua kiongozi wa tume ya Umoja wa Afrika AU kati ya wagombea watatu, lakini pia mapigano yanayoendelea kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda dhidi ya jeshi la serikali FARDC na ambao sasa wameudhibiti mji wa Bukavu huko Kivu kusini mashariki mwa DRC, mapigano ya nchini Sudan, siasa za Uganda na pia kwenye nchi za Afrika Magharibi. Lakini pia zoezi la ubadirishanaji wa mateka huko Gaza…

1 Mkutano wa pamoja kati ya SADC na EAC kuhusu DRC 20:10
20:10
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:10
Kwa sehemu kubwa makala ya mtazamo wako imeangazia kuhusu hali ya mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na mkutano wa pamoja kati ya jumuia ya Afrika mashariki EAC na jumuia ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC kutafuta suluhu ya kudumu ya mzozo wa mashariki mwa DRC, huko Gabon upinzani umemtaka kiongozi wa mpito kuweka wazi msimamo wake kuhusu ushiriki wake katika uchaguzi mkuu, na hatua ya rais wa Marekani Donald Trump kukata ufadhili kwa shirika la misaada USAID pia Marekani kudhibiti eneo la Gaza…

1 Juhudi za kimataifa katika kusaka amani ya mashariki mwa DRC 20:14
20:14
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:14
Makala ya yaliyojiri wiki hii kwa sehemu kubwa imejikita katika kudadavua hali yausalama wa mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambako tangu mwanzo wa juma hili kulishuhudiwa mapigano makali kati ya jeshi la Nchi hiyo na waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda kwenye mji wa Goma, lakini pia siasa za mataifa ya Kenya, Uganda, Tanzania na maeneo mengine duniani…

1 Kuapishwa kwa Rais wa Marekani Donald Trump kwa muhula wa pili 20:15
20:15
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:15
Kuapishwa kwa Donald Trump kama rais wa 47 wa Marekani, Mkutano wa kimataifa kuhusu uchumi huko Davos, Hali ya kibinadamu kuendelea kuzorota mashariki mwa DRC, Tundu Lissu ateuliwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama cha Upinzani cha Chadema kule Tanzania, tutaangazia Sisa za Kenya, Sudan na maeneo Ya Afrika magharibi pia kwengineko duniani.…

1 Israeli na wapiganaji wa Hamas wakubaliana kusitisha vita huko Gaza 20:12
20:12
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:12
Miongoni mwa yale tumekuandalia wiki hii ni pamoja na kuapishwa kwa Rais Mteule wa Marekani Donald Trump, mapigano yanyoendelea kuripotiwa mashariki ya DRC, makubaliano ya kusitishwa kwa vita kati ya Hamas na Israeli.

1 Mapigano mashariki mwa DRC, ziara ya rais Ruto nchini Angola na mengineyo 20:12
20:12
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:12
Makala hii imeangazia mapigano eneo la mashariki mwa DRC, mvutano wa kisiasa nchini Kenya pamoja na hali ya Sudan, kauli ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwamba mataifa ya Afrika hayana shukrani katika kuyataka majeshi ya Ufaransa kuondoka kwenye ardhi zao na mazishi ya aliyekuwa rais wa 39 wa Marekani Jimmy Carter wiki hii…

1 Mwaka mpya wa 2025 na matarajio ya ulimwengu kuhusu usalama amani na maendeleo 20:16
20:16
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:16
Makala hii imeangazia namna ambavyo nchi zetu zilivyoukaribisha mwaka wa 2025 kwa shamrashamra za kila aina huku wakisema kwaheri kwa mwaka 2024 ulioshuhudia michezo mikubwa zaidi ulimwenguni ya Olimpiki, vita ya Ukraine na kule Gaza, usalama mashariki mwa DRC, Sudan pamoja na kurejea madarakani kwa aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump.…

1 Polisi wa Kenya wasambaratisha maandamano, hotuba ya Tshisekedi bungeni DRC 20:09
20:09
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:09
Makala imeangazia namna ambavyo polisi nchini Kenya walivyotawanya maandamano ya wanaharakati waliopinga ukatili dhidi ya wanawake na mauaji nchini humo. Rais wa DRC Felix Tshisekedi alilihutubia taifa mbele y amabunge yote mawili, na kuonyesha kwamba Rwanda inatatiza usalama wa mashariki, siasa za Tanzania, Sudani, na Francois Bayrou ateuliwa kuwa waziri mkuu mpya wa Ufaransa pia hali nchini Israeli.…

1 Ziara ya rais Joe Biden huko Angola, watano wahukumiwa kifo huko DRC 20:18
20:18
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:18
Habari kuu wiki hii ni pamoja na mkutano kati ya rais wa Marekani anayejiandaa kuondoka madarakani Joe Biden na viongozi wa Afrika huko Lobito Angola, mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini kuanza tena baada ya miezi minne, maafisa 20 wa Kenya waliopelekwa Haiti wajiuzulu, rais wa DRC Felix Tshisekedi kukutana na rais wa Rwanda Paul Kagame desemba 15, yaliyojiri Sudan uchaguzi nchini Ghana, na wabunge wa Ufaransa walivyoiangusha serikali ya Michel Barnier lakini pia kanisa kubwa la Notre Dame lafunguliwa jijini Paris Ufaransa, Israel yaendeleza mashambulizi Gaza…

1 DRC:Rais Felix Tchisekedi awataka raia wa nchi yake kuunga mkono mabadiliko ya katiba 19:58
19:58
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai19:58
Miongoni mwa yale utakayoyasikia kwenye habari ni pamoja na Rais wa DRC, Felix Tschisekedi, kuwataka raia wa nchi yake kuunga mkono mabadiliko ya katiba, , Chama tawala cha CCM nchini Tanzania chaongoza kwa asilimia 99 ya kura.Zaidi ya watu 100 hawajulikani walipo baada ya ajali ya maporomoko ya Udongo nchini Uganda,pia Tutaangazia ziara yake Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, nchini Ufaransa, Raia wa Namibia wapiga kura, kisha kimataifa tutaangazia mkutano wa Mawaziri wa mambo ya nje kutoka muungano wa G7,uliofanyika mjini Roma Italia.…

1 Maaskofu wa kikatoliki nchini Kenya wakosoa utawala, Rwanda yamaliza Marbug 20:09
20:09
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:09
Maaskofu wa kanisa katoliki nchini Kenya wameukosoa utawala wa Ruto, wataka kukomeshwa, utekaji nyara na ukiukaji wa haki za binadamu, wapinzani nchini DRC wajitokeza kupinga mpango wa kubadilisha katiba, Rwanda yafanikiwa katika mapambano yake dhidi ya ugoinjwa wa Murbag, kura ya maoni kuhusu katiba mpya kufanyika jumamosi nchini Gabon,Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa yaunga mkono ripoti kwamba Israel inatekeleza mauaji ya kimbari jijini Gaza…

1 Uchaguzi wa Marekani, mapigano DRC, kampeni za Raila kuwania uenyekiti wa tume ya AU 20:15
20:15
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:15
Donald Trump achaguliwa kuwa rais wa 47 wa Marekani, Ziara ya rais wa Kenya William Ruto huko Addis Ababa Ethiopia, na Sudan Kusini, na Raila Odinga kuzindua azma yake ya kuwania uenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika, kuelekea uchaguzi huo utakaofanyika Februari mwaka 2025. Mapigano makali kati ya waasi wa M23 na wazalendo mashariki mwa DRC, Umoja wa Mataifa wasema uamuzi wa kuahirishwa uchaguzi nchini Sudani Kusini haukubaliki, Duma Boko atawazwa rasmi kama rais mpya wa Botswana, Uhusiano wa Urusi na Marekani baada ya Trump kushinda uchaguzi…

1 Kithure Kindiki aapishwa kuwa makamu wa rais Kenya, ziara ya rais wa DRC nchini Uganda 20:19
20:19
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:19
Kuapishwa kwa makamu mpya wa rais wa Kenya Profesa Kithure Kindiki, ziara ya rais wa DRC Félix Tshisekedi Kampala Uganda huku mapigano kati ya waasi wa M23 na wazalendo yakiripotiwa mashariki mwa nchi yake, mkutano wa Comesa watamatika Jijini Bujumbura Burundi, Umoja wa mataifa wasema hali ya kibinadamu nchini Sudan yatia wasiwasi, upinzani washinda uchaguzi mkuu Botswana, kampeni za lala salama Marekani, lakini pia kauli ya Korea Kaskazini kuwa itasimama na Urusi hadi ushindi wake huko Ukraine.…

1 Rais Tshisekedi asema katiba ya Congo itarekebishwa, kesi ya naibu rais wa Kenya 20:12
20:12
Main Kemudian
Main Kemudian
Senarai
Suka
Disukai20:12
Kauli ya rais wa DRC kuhusu marekebisho ya katiba yazua hisia mseto, kesi ya naibu wa Rais wa Kenya aliyeenguliwa madarakani Rigathi Gachagua yaendelea, umoja wa Ulaya kuendeleza shinikizo ilizoiwekea Burundi mwaka 2015 hadi mwaka 2025. Ziara ya mkuu wa UNHCR Fillipo Grandi nchini Uganda, mgombea wa chama tawala kule Msumbiji awa mshindi wa uchaguzi mkuu, uchaguzi mkuu wa Marekani na mengineyo.…
Selamat datang ke Player FM
Player FM mengimbas laman-laman web bagi podcast berkualiti tinggi untuk anda nikmati sekarang. Ia merupakan aplikasi podcast terbaik dan berfungsi untuk Android, iPhone, dan web. Daftar untuk melaraskan langganan merentasi peranti.