Artwork

Kandungan disediakan oleh UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations. Semua kandungan podcast termasuk episod, grafik dan perihalan podcast dimuat naik dan disediakan terus oleh UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations atau rakan kongsi platform podcast mereka. Jika anda percaya seseorang menggunakan karya berhak cipta anda tanpa kebenaran anda, anda boleh mengikuti proses yang digariskan di sini https://ms.player.fm/legal.
Player FM - Aplikasi Podcast
Pergi ke luar talian dengan aplikasi Player FM !

UNICEF Burundi yachukua hatua mpox isivuruge muhula wa masomo kwa watoto

1:53
 
Kongsi
 
Manage episode 440579962 series 2027789
Kandungan disediakan oleh UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations. Semua kandungan podcast termasuk episod, grafik dan perihalan podcast dimuat naik dan disediakan terus oleh UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations atau rakan kongsi platform podcast mereka. Jika anda percaya seseorang menggunakan karya berhak cipta anda tanpa kebenaran anda, anda boleh mengikuti proses yang digariskan di sini https://ms.player.fm/legal.
Nchini Burundi shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linashirikiana na serikali kuhakikisha mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani au mpox nchini humo hauthiri watoto kurejea shuleni wakati huu ambapo asilimia 33 ya wagonjwa wakiripotiwa kuwa na umri wa kati ya miaka 5 hadi 19. Cecily Kariuki anatupa maelezo zaidi kupitia video hii ya UNICEF inayotupeleka hospitali ya Prince Louis Rwagasore iliyoko mji mkuu wa taifa hilo la Maziwa Makuu, Afrika, Bujumbura..Video ya UNICEF inaanzia kwenye uwanja wenye mahema yenye nembo ya shirika hilo. Moja kwa moja tunaingia ndani, daktari akitoa maelekezo kwa akina mama walioko na watoto wao wanaougua mpox. Miongoni mwao ni Primitive Nibitanga, mama watoto wawili. Primitive anasema tumelazwa kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nilienda kituo cha afya lakini hawakuweza kumtibu mtoto wangu. Majirani walinishauri nije hapa kliniki. Nilifika na kulazwa. Mtoto wangu alikuwa mahututi, lakini wauguzi walijitahidi kwa kadri ya uwezo wao na haikuchukua muda alipona. Bahati mbayá siku tatu baadaye dada yake alipata dalili zile zile na tukarejea tena hapa.”Daktari Fidel Cishahayoanahusika na usimamizi wa matibabu ya mpox katika hospitali hii ya Prince Rwegasore. Anasema “hatua ya kwanza ilikuwa kutenga hili eneo kwa sababu tulikuwa tunapokea wagonjwa wa mpox na wanaoshukiwa kuwa na maambukizi. Kwa hiyo tuliandaa ili kuwa na eneo la wagonjwa na washukiwa. Tuliandaa pia timu ya wahudumu, wakiwemo madaktari na wauguzi kutoka idara nyingine kwa ajili ya mpox. Wanaopona wanaruhusiwa na kushauriwa kujitenga kwa angalau wiki tatu.” UNICEF tayari imeomba dola milioni 58.8 kusaidia kupambana na mlipuko wa mpox barani Afrika ikiwemo nchini Burundi. Mwakilishi wa UNICEF nchini Burundi France Bégin amesema fedha hizo pamoja na mambo mengine zitasaidia kuwalinda watoto ili warejee shuleni licha ya mlipuko. Vile vile kuepusha kuvurugwa zaidi kwa fursa za wanafunzi kusoma kwani mwaka mpya wa masomo umeanza tarehe 16 mwezi huu wa Septemba.
  continue reading

104 episod

Artwork
iconKongsi
 
Semua episod

×
 
Loading …

Selamat datang ke Player FM

Player FM mengimbas laman-laman web bagi podcast berkualiti tinggi untuk anda nikmati sekarang. Ia merupakan aplikasi podcast terbaik dan berfungsi untuk Android, iPhone, dan web. Daftar untuk melaraskan langganan merentasi peranti.

Panduan Rujukan Pantas

Podcast Teratas