Afya yako ndio mtaji mkubwa ktk maisha yako. Watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa. Njoo nikushauri mputae0@yahoo.com
…
continue reading
AfisaAfya ni podcast pekee ya lugha ya Kiswahili itakayokuwa inawaletea mada, mijadala na mahojiano kuhusu afya ya mwanadamu na jinsi ambavyo afya zetu zinaweza kuathiriwa na mazingira tunamoishi, kila siku ya jumapili.
…
continue reading
Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa bali ni dalili ya ugonjwa
…
continue reading
Ndugu S. Karata akizungumzia Ukaguzi wa Nyama, Majukumu ya AfisaAfya kama mkaguzi wa nyama, sheria zinazosimamia Ukaguzi wa Nyama, malengo ya ukaguzi nakadhalika.
…
continue reading
Ndugu Swahibu Karata akitoa elimu ya afya kuhusu historia, dalili paka njia za kujikinga na ugonjwa wa homa ya dengi.
…
continue reading
Historia, visababishi, jinsi unavyoenea, makundi ya watu walio hatarini zaidi, madhara lakini pia ni kwa namna gani tunaweza kujilinda na maambukizi ya ugonjwa wa Listeria - Swahibu A. Karata & Yusuph Uzuwila
…
continue reading
AfisaAfya Karata akiendelea kujadili chanjo na jinsi ambavyo Chanjo huweza kumkinga binadamu dhidi ya maradhi
…
continue reading
AfisaAfya Karata akijadili jinsi ambavyo chanjo husaidia kumkinga binadamu na maradhi.
…
continue reading
Where prevention Begins
…
continue reading
Ndugu Swahibu A. Karata akitoa historia yake fupi lakini pia amegusia kidogo kuhusu AfisaAfya podcast
…
continue reading
Afya kwanza. Bw, Karata akiitambulisha show kwa wasikilizaji wake ?
…
continue reading