biashara awam
[search 0]
lebih
Download the App!
show episodes
 
RICHLIT FOREX ACADEMY, Hii ​​ni jukwaa la masomo la mtandaoni lililokusudiwa kuelimisha na kutoa rasilimali kwa watu wote ambao wana nia ya kujifunza biashara ya forex au wanataka kuboresha ufahamu wao wa biashara. Mwanzilishi wa RICHLIT FOREX ACADEMY ndiye mfanyabiashara wa kwanza wa vijana ..
  continue reading
 
Artwork

1
TIMIZA MALENGO YAKO

Joel Arthur Nanauka

Unsubscribe
Unsubscribe
Mingguan
 
Many people would achieve great things in life if they would know the proven principles and strategies to achieve their goals. Self-development is the key to your vision fulfillment. These episodes unveil to you the hidden secrets for success that many have used to bring a difference in their lives. Through this show you will learn how to discover your hidden abilities, how to maximize your potential, how to build successful habits, money & buisness skills, and personal leadership. See you a ...
  continue reading
 
Artwork

1
Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Unsubscribe
Unsubscribe
Mingguan+
 
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
  continue reading
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
  continue reading
 
Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies. This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Serikali ya Tanzania imekuwa ikiteleza kanuni za mwaka 2009 juu ya kulifunga ziwa hilo kwa muda wa siku 10 utaratibu huu umekuwa endelevu hadi sasa ambapo kila mwezi wavuvi hawaruhusiwi kujishughulisha na shughuli za uvuvi kwa siku 10, ikiwa na maana kwamba katika kipindi cha mwaka mzima, Ziwa hilo linafungwa kwa siku 120, sawa na Robo mwaka yaani …
  continue reading
 
Uchina wiki hii imekuwa mwenyeji wa mkutano kati yake na viongozi wa Afrika, kwa mujibu wa takwimu zilizoko, China ni taifa la pili duniani kufanya biashara nyingi zaidi na bara la Afrika, biashara inayokadiriwa kufikia dola za Marekani bilioni 167 kwa mwaka. Kuangazia mkutano huu na wasiwasi ulioko kuhusu uwekezaji wa China barani Afrika, tumezung…
  continue reading
 
Katika makala haya tunajadili hatua ya umoja wa mataifa kusema unatathimini kutangaza vikwazo dhidi ya majenerali wawili nchini Sudan ambao wamekuwa kwenye vita kwa zaidi ya miezi 17. Je unafiriki kutangazwa kwa vikwazo dhidi ya majenerali wa Sudan kutasitisha vita nchini Sudan? Unahisi jumuiya ya kimataifa imesaidia, kutatua mizozo Africa, ndio ma…
  continue reading
 
Kwenye makala ya Habari Rafiki leo tunajadili kilichofanyika nchini Kenya, ambapo taifa hilo la Africa mashariki limeadimisha miaka 14 tangu lijipatie katiba ya mwaka 2010, ila imekuwa vigumu kwa serikali kutekeleza baadhi ya vipengee vya katiba hiyo. Unafiriki nini huzuia serikali yetu kuttotekeleza katiba? Ndilo swali tumekuuliza, na haya maoni y…
  continue reading
 
Kwa wastani, wanawake hufanya angalau mara mbili na nusu zaidi ya kazi za nyumbani zisizo na malipo kuliko wanaume. Zaidi ya hayo, wanawake hutumia saa 4 na dakika 30 kwa siku kwa kazi ya matunzo bila malipo, ikilinganishwa na saa 1 dakika 20 kwa wanaume katika nchi zinazoendelea. Makala ya Gurudumu la uchumi wiki hii tunajikita kule mashariki mwa …
  continue reading
 
Hivi karibu serikali ya Tanzania iliitaka taasisi ya uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) kuandaa mkakati wa kulifunga ziwa hilo kwa kipindi kirefu. Kauli hiyo inakuja siku chache baada ya kufunguliwa kwa Ziwa Tanganyika lililofungwa kwa miezi mitatu kutoka Mei 15 hadi Agosti 15, 2024 kwa ajili ya kuruhusu samaki kuweza kuzaliana kwa wingi…
  continue reading
 
katika makala ya Rabari Rafiki, leo mskilizaji tunajadili hatua ya Mataifa ya Afrika yalioathirika na ugonjwa Mpox kuendelea kusubiri chanjo kutoka kwa mataifa ya magharibi ili kuwapa raia walioathirika. Je unafikiri kwa nini hadi sasa Afrika haiwezi tegeneza chanjo yake? Ndilo swali tumekuuliza na haya maoni yako.…
  continue reading
 
Katika makala haya tunajadili hatua ya kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, kusema hataki mazungumzo yoyote yatayohusisha wapiganaji wa RSF, akisema jeshi liko tayari kupigana hata kwa miaka 100. Matamshi yake yamekuja wakati huu Marekani ikiongoza juhudi za kupata mwafaka wa mani kati yake na vikosi vya RSF.…
  continue reading
 
Shughuli za Uvuvi katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma zilifungwa kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Mei 15 hadi Agosti 15, mwaka huu lengo likiwa ni kupumzisha ziwa hilo, ili kuchagiza ongezeko la Samaki Kufungwa kwa ziwa hilo ni makubaliano yaliyoazimiwa katika kikao kilichofanyika mwaka 2022 kikihusisha nchi zinazozunguka ziwa hilo ambaz…
  continue reading
 
Msikilizaji asilimia 70 ya watu katika mataifa ya Afrika yaliyoko Kusini mwa Jangwa la Sahara wana umri wa chini ya miaka 30, hata hivyo ni hatari ikiwa mataifa yatashindwa kuhakikisha vijana wana nafasi nzuri za maisha, kwakuwa Vijana wana haki sio tu ya afya bora, lishe bora na elimu, lakini fursa za uhuru na kazi nzuri. Kuzungumzia mada hii hivi…
  continue reading
 
Siku ya Vijana Ulimwenguni, ambayo huadhimishwa tarehe 12 Agosti kila mwaka, ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mnamo mwaka wa 1999 kupitia maazimio ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Lengo kuu la siku hii ni kutambua mchango wa vijana katika jamii, kuhamasisha ushirikiano na kuunga mkono haki za vijana, na kuonyesha jinsi vijana wanavyoweza kuchangia…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya Kikazi tarehe 06 Agosti, 2024.Oleh Ikulu Mawasiliano
  continue reading
 
Tunajadili visa vya watu kutekwa nyara kuendelea kuripotiwa katika ya mataifa yetu ya Africa hivi karibuni visa kama hivi vikiripoti kwa wingi nchini Kenya, vyombo vya usalama vikituhumiwa kwa utekaji huo. Je nchini mwako kuna visa kama hivyo ? ndio baadhi ya maswali tumeuuliza karibu Haya hapa baadhi ya maoni yako.…
  continue reading
 
Katika makala haya mshale wetu unalenga taifa la Kenya, ambapo polisi nchini humo wamefaulu kumkamata mshukiwa mkuu wa mauaji wanawake 42, ambao sehemu za miili yao iliyokuwa imekatwa vipande vipande na kuwekwa kwenye magunia kabla ya kutupwa kwenye shimo la kutupa taka. Tunauliza mskilizaji unafikiri nini huchangia mambo kama haya kutokea kwa jami…
  continue reading
 
Katika makala haya tunajadili uwezekano wa vikosi vya MONUSCO nchini DRC kusalia kwa muda kwenye taifa hilo, kutokana na ripoti za uwepo wa wanajeshi wa Rwanda wanaowasaidia waasi wa M23. Tumeuliza wewe unaunga mkono vikosi vya MONUSCO kusalia DRC? Haya hapa baadhi ya maoni yako.Oleh RFI Kiswahili
  continue reading
 
How does one transform from a junior officer to a recognized leader? Our special guest recounts their inspiring journey, expressing heartfelt gratitude to the remarkable people and supporters who have been pivotal along the way. Hear personal acknowledgments to Mama Mkapa and the National Council, and uncover the power of collaboration and dedicati…
  continue reading
 
Raia wa Rwanda ambao ni wanachama wa Jumuiya ya Afrika mashariki, kwa sasa wapo katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu Uchaguzi utakaofanyika Julai 15, 2024 kumchagua rais wao mpya Pamoja na wabunge Rais anayemaliza muda wake Paul Kagame anawania kwa muhula wa nne akisaka ridhaa ya Wanyarwamda kusalia katika Ikulu ya Kigali Taifa la Rwanda linalo…
  continue reading
 
Makala ya Afrika mashariki ikiangazia juu ya namna wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki wakiwa katika mkwamo wakupata katika huduma ya maji kwa ukaribu licha uwepo wa vyanzo vikumbwa vya maji. Kwa mujibu wa tovuti ya Jumuiya ya Afrika mashariki, Maziwa makubwa yote mawili kwa maana ya ziwa Victoria na Tanganyika, na hatimaye, Mto White Nile hutege…
  continue reading
 
Kenya imetuma polisi wake nchini Haiti kwenda kujaribu kudhibiti magenge ya wahalifu ambayo yametatiza usalama wa taifa hilo kwa kipindi kirefu. Polisi wa Kenya wanaenda Haiti licha ya mataifa kama Marekani kushindwa kurejesha amani nchini Haiti. Je Polisi wa Kenya watafaulu? ndilo swali tumekuuliza. Haya hapa baadhi ya maoni yako.…
  continue reading
 
Msikilizaji kwa mujibu wa Jukwaa la dunia la uchumi, World Economic Forum, ujio wa teknolojia mpya kama akili mnemba (Artuificial inteligency), ikiwa zitatumika vizuri, zitasaidia kujenga uchumi wenye ushindani, unaostahimili changamoto na endelevu. Katika makala ya gurudumu la uchumi juma hili, tunajadili Kuibuka au ugunduzi wa teknolojia na ushaw…
  continue reading
 
Katika makala haya tunaangazia taifa la Burundi linalozidi kushuhudia uhaba mkubwa wa mafuta, hili likitatatiza shughuli za usafiri katika taifa hilo la Africa mashariki. Tumekuuliza unafikiri nini huwa chanzo cha ukosefu wa mafuta katika mataifa yetu? Haya hapa baadhi ya maoni yako.Oleh RFI Kiswahili
  continue reading
 
Katika makala haya tunajadili maadimisho siku ya kimataifa ya wakimbizi, yaliofanyika juma lililopita ripoti zikionesha watu zaidi ya millioni 120 duniani wanakimbia mataifa yao kutokona na mizozo, uchumi mbaya na mabadiliko ya tabia nchi. Tumekuuliza nini kifanyike kukabiliana na wimbi la wakimbizi duniani? Haya hapa baadhi ya maoni yako…
  continue reading
 
What if the key to battling RNA viruses and ensuring community growth lies in legal and educational reforms? In this episode, we dive deep into a conversation with the Minister of Health and other influential figures who have been pivotal in pushing forward critical initiatives. We discuss the incredible progress being made in public health, the es…
  continue reading
 
Msikilizaji juma hili katika makala ya Gurudumu la uchumi nakuletea mseto wa taarifa za uchumi na biashara toka kwenye kanda ya Afrika Mashariki, katika Makala ya leo mwenzangu victor Abuso, alizungumza na Christian Yoka, mkurugenzi wa shirika la maendeleo la Ufaransa, AFD kanda ya Afrika, lakini pia mwandishi wetu wa Lubumbashi, Denise Mayoo, aliz…
  continue reading
 
Loading …

Panduan Rujukan Pantas

Podcast Teratas