Moja awam
[search 0]
lebih
Download the App!
show episodes
 
Artwork
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
  continue reading
 
Artwork
 
Maelezo - Neno ni sehemu ya huduma ya kimataifa ya mafundisho ya biblia nzima ya Thru The Bible. Mfululizo wa mafundisho haya kwanza yaliandaliwa na Dkt. J. Vernon McGee na kutafsiriwa kwa lugha zaidi ya mia moja na kabila. mafundisho hayo yakusudiwa kuwa ya dakika 30 kwenye radio ambayo kwa mpangilio maalum humwezesha msikilizaji kujifunza Biblia nzima. Sasa ujumbe ndizo twakusilishia kwenye mtandao. Twashukuru kwamba umeanza kujifunza mengi zaidi katika Neno la Mungu kwa njia ya ujumbe hiz ...
  continue reading
 
Artwork
 
Podcast jest nagrywany w języku angielskim. Spędź kilka chwil ze mną a ja postaram się przekazać Ci mnóstwo energii i zarazić moją pasją do tego języka. Każdy podcast będzie miał swój transkrypt, który pomoże wytropić dowolne słówko i zwrot. Transkrypt znajdziecie na naszej stronie My podcast is recorded in English. Spend some time with me and I will try and share with you loads of energy and passion for this language. Each podcast will have its transcript which will help you trace any word ...
  continue reading
 
Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi alikutana na binti yao. Mambo muhimu ya sarufi: Vitenzi vya utaratibu, wakati timilifu, uhusika usioungwa moja kwa moja.
  continue reading
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
  continue reading
 
Redio podcast hii inalengo la kuhabarisha,burudisha na kuelimisha kwa kukuletea habari moto moto sanjari na matukio ya kijamii yasio chacha yanayo jiri kutoka kila sehemu Duniani kote. B-Voice Radio Dunia moja habari pamoja!
  continue reading
 
Artwork
 
Nikiwa Kama mwanahabari chipukizi naamini kuwa siku moja nitatimiza ndoto zangu lakini marafiki ndugu na jamaa wote na Kila mtu ndio nguzo yangu katika hii fani . Mimi sio mkamilifu endapo Kuna mahali nimekosea kwa kile ambacho nafanya Basi nitashukuru nikipata mtu na kuniongoza . Katika podcast hii hutuma habri na maelezo mbali mbali ya kijamii .
  continue reading
 
Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wagonjwa Wa GOITA Kama wewe ni mgonjwa wa GOITA ambaye umekuwa unahangaika kwa muda mrefu na tatizo hilo bila ya kupata utatuzi wa uhakika basi naomba unisikilize kwa makini kabisa kwani huenda taarifa ifuatayo ikawa taarifa muhimu kuliko taarifa yoyote katika maisha yako. Baada ya kuwasaidia zaidia ya wagonjwa 200 wa GOITA nimekuja kugundua kuwa tiba ya ugojwa huo sio upasuaji tu kama madaktari wengi wanavyodai bali ni jambo ambalo ukilifahamu utaweza kuondokana na ta ...
  continue reading
 
Artwork
 
#Talks4Change is a podcast series created, hosted and narrated by Curtin young alumni. This podcast series celebrates and shares the journey of young Curtin graduates who are inspiring social change within the community. Follow us on LinkedIn: @CurtinYoungAlumni Email us: youngalumni@curtin.edu.au Visit our website: curtin.edu/youngalumni 2021 host: Sam Panickar – Bachelor of Commerce (Tourism, Hospitality and Event Management and Marketing), 2014 2021 editor: Apurva Gupta Backing Music: Iks ...
  continue reading
 
The Dominic, Andrew, and Matthew podcast was started by 3 college students with a love for everything that involves the Culture and wanted an outlet to speak their minds freely and give all generations a channel to relate to. We dedicate ourselves to discovering and meeting individuals from all walks of life that can share their experiences and passions to the world through our Platform. Experiences vary from trending Politics, News, Pop Culture, Urban Culture, Sports, Music, Entertainment, ...
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Hatma ya aliyekuwa naibu rais wa Kenya Rigathi Gachagua sasa utaamuliwa na mahakama baada ya mabunge yote mawili kumwondoa madarakani kwa njia ya hoja maalum Hatua ya kuondolewa Gachagua ni dhihirisho ya kuvunjika kwa uhusiano kati ya rais William Ruto na naibu wake Gachagua ,matukio ambayo si mageni nchini Kenya.…
  continue reading
 
Osoby uczące się języka angielskiego szukają najbardziej sprawdzonych metod. Naturalnie korzystamy z technik, które upraszczają proces nauki i jednocześnie skracają czas pracy. Musimy jednak pamiętać, że niektóre zagadnienia wymagają więcej czasu, który jest konieczny do przyswojenia materiału. Co więcej, istnieją takie elementy gramatyki czy słown…
  continue reading
 
Nauka musi być skuteczna. Jednak często, kiedy uczymy się języka angielskiego, robimy to instynktownie - nie wiemy od czego zacząć, jakie kolejne kroki podjąć i co jest właściwe, żeby odnieść sukces. W podcaście World of English przygotowaliśmy gotowe rozwiązania, które odpowiadają na pytanie, jak uczyć się słownictwa w języku angielsku. W szczegól…
  continue reading
 
Makala wimbi la siasa inaangazia maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kundi la Hamas, litekeleze shambulio baya zaidi kuwahi kutekelezwa huko Israeli, tukio ambalo lilianzisha vita ambayo imesababisha vifo kwa maelfu ya raia wa Kipalestina na maandamano duniani kote kupinga vita hiyo, wakati huu mzozo huo ukihofiwa kuenea katika mashariki…
  continue reading
 
Makala ya Wimbi la siasa inaangazia tukio la kutekwa na kuuawa, kwa wanasiasa wa upinzani kwenye nchi za Afrika mashariki,tukio la hivi punde likiwa ni kutekwa kwa mwanasiasa mwandamizi wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema Ali Kibao, na baadaye alikutwa ameuawa, na matukio haya yanaripotiwa pia nchini Uganda na DRC. Ungana na Ruben Luk…
  continue reading
 
Makala hii imeangazia hali ya kibinadamu inavyoendelea kuwa mbaya ndhini Sudan licha ya juhudi za kimataifa zinzoendelea.Nini kifanyike ili kufikia amani ya kudumu ya Sudan? kwa nini serikali imekataa kukaa meza moja na wapiganaji wa RSF? kuangazia hili, Ruben Lukumbuka anazungumza na Lugete Musa Lugete ni mchambuzi wa siasa za Kimataifa akiwa Tanz…
  continue reading
 
Loading …

Panduan Rujukan Pantas

Podcast Teratas